SERIKALI ZA MITAA TIMIZENI WAJIBU WENU
serikali za mitaa zinatakiwa zifanye usafi wa mazingira kwani ni moja ya majukumu ambayo zinatakiwa ziyatimize,manispaa nyingi sana tanzania zinaongoza kuwa na uchafu mwingi sana na sababu ya haya yote ni kukosekana kwa uwajibikaji wa viongozi katika nafsi na kutozingatia kanuni za uongozi bora
hili eneo lipo ndani ya manispaa ya na baadhi ya viongozi wa manispaa wanatokea maeneo hayo lakini suala la usafi liko nyuma sana
hili eneo lipo ndani ya manispaa ya na baadhi ya viongozi wa manispaa wanatokea maeneo hayo lakini suala la usafi liko nyuma sana

No comments