
Msanii wa muziki nchini Diamond plutnumz amesema kamwe ktk maisha yake hataruhusu mwanae wa kike Tiffa afanye sanaa ya mziki, maigizo au mitindo 'coz' kwenye hizi sanaa watoto wa kike "wanaliwa" sana. siwezi nikaruhusu mwanangu wa kike afanye kazi ya usanii maana huku si salama kwa watoto wa kike wanachezewa sana huku ni bora awe hata mwalimu kuliko kuwa msanii nasema hivi sio kama nabahatisha nauzoefu na mambo ya sanaa so najua kila kitu kinachoendelea kuhusu watoto wa kike
No comments:
Post a Comment