
MWIGIZAJI wa Bongo Movie, Wema Sepetu, kupitia akaunti yake ya Instagram ame-post ujumbe unaompa pole mwigizaji mwenzake Elizabeth Michael ‘Lulu’, ambaye leo amehukumiwa na Mahakama Kuu kwenda jela miaka miwili kwa kosa la kumuua bila kukusudia aliyekuwa mwigizaji mwenzake, Steven Kanumba.
Maneno aliyoyatuma ni haya chini:
No comments:
Post a Comment